Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,016
- 8,762
Kabisa kabisaa nilikuwa natoa huduma kwa wagonjwa hapaaleo nipo mpaka majogoo uko good
Kabisa kabisaa nilikuwa natoa huduma kwa wagonjwa hapaaleo nipo mpaka majogoo uko good
I see the Don is back, mwachiiii
Mi kibaka tu wa kimataifaa🤗🤗Kaka leo nipo free baada ya maangaiko ya wiki naona unatoa elimu hapo
Kabisa kabisaa nilikuwa natoa huduma kwa wagonjwa hapaa
Mi kibaka tu wa kimataifaa![]()
Nmemonaaa we ngoja tutafute vijana wa kumkamata maana mwoga sana sindanoHuyo [mention]Intelligent businessman [/mention] anatakiwa kuchoma sindano ya kwinini ana kwikwi sana
Na comment wap hapa?Just mwisho WA mwaka Jana nipo mtaa hivi na wanangu kapita mamdogo mmoja hivi , mrefu wastani. Maji ya kunde /weusi WA kung'aa , jicho analo .. kiuno pia kipo .
Kwa ufupi anazo qualities zote za kuwafanya wanaume mashababi Wamtizame .. sikumtilia maanani kivileee but macho yake yalikuwa kwangu . Macho yenye kuzungumza , next dei mvua inanyesha nakimbia kurudi Nyumbani nakutana nae
She looked at me , akatabasamu kisha akankonyeza , damn she's cute .. akaharibu siku kabisa .. nilifreeze ..
Na Bantu Lady huyoNmemonaaa we ngoja tutafute vijana wa kumkamata maana mwoga sana sindano
Sikuweza tembea nilisimama kwenye mvua nikimtizama wakati anaishia , kama vile alicast spell on me , kufika Nyumbani , nkasema hapana sikai nikaoga chap nikabadili mavazi alafu huyoo Kwenda kupata kahawa , njia nayopita huyu hapa kuniona kasimama katikati .. siwez hata kuongea Taratibu akasema za Saa hizi , Naweza pata number yako , I gave her nikamsindikiza tena kwa macho .. siku zikasonga mahaba mengiiii mengiii naoneshwa Mie .. Siku ya tukio ikafika Kwanza nlipewa kimoko , utamu ukabaki .. na ukweli kujua anajua , siku zikasonga nimefall nimefall Ila baada ya kuona kaniona many times drama zikaanza , Mtoto WA watu Mimi nafosi penzi , kuja kupata details shes married , na anapenda light skinned men , ako namultiple relationships .. alafu at last Leo kaniambia she just wanted my Mjulus and nothing moreJust mwisho WA mwaka Jana nipo mtaa hivi na wanangu kapita mamdogo mmoja hivi , mrefu wastani. Maji ya kunde /weusi WA kung'aa , jicho analo .. kiuno pia kipo .
Kwa ufupi anazo qualities zote za kuwafanya wanaume mashababi Wamtizame .. sikumtilia maanani kivileee but macho yake yalikuwa kwangu . Macho yenye kuzungumza , next dei mvua inanyesha nakimbia kurudi Nyumbani nakutana nae
She looked at me , akatabasamu kisha akankonyeza , damn she's cute .. akaharibu siku kabisa .. nilifreeze ..
Quote alafu uedit 😂😂😂😂Na comment wap hapa?
Mbona hujamwambia na kile kinahusiana na amri za Mungu?Mkuuu kibaya sinywi pombe, sivuti sigara Wala sipendi kilevi chochote. Starehe zangu ni movie,chakula, game na vitabu Bantu Lady
Ooooh pole sana dah kweli huyu alikutumia, angesema tu kuwa ameolewa ili wewe ujue cha kufanya. Natumaini usingefall kiasi hiko... pole sana so uko single? 😂😂😂😂😂😂Sikuweza tembea nilisimama kwenye mvua nikimtizama wakati anaishia , kama vile alicast spell on me , kufika Nyumbani , nkasema hapana sikai nikaoga chap nikabadili mavazi alafu huyoo Kwenda kupata kahawa , njia nayopita huyu hapa kuniona kasimama katikati .. siwez hata kuongea Taratibu akasema za Saa hizi , Naweza pata number yako , I gave her nikamsindikiza tena kwa macho .. siku zikasonga mahaba mengiiii mengiii naoneshwa Mie .. Siku ya tukio ikafika Kwanza nlipewa kimoko , utamu ukabaki .. na ukweli kujua anajua , siku zikasonga nimefall nimefall Ila baada ya kuona kaniona many times drama zikaanza , Mtoto WA watu Mimi nafosi penzi , kuja kupata details shes married , na anapenda light skinned men , ako namultiple relationships .. alafu at last Leo kaniambia she just wanted my Mjulus and nothing more
Labda kiwanda Cha kuwaibia watu, nikishirikiana mwizi mzoefu National Anthem pamoja na mzee kuchora mipango Mzee wa kupambaniaAhahah wakati nasikia soon tuna fungua kiwanda kule kisevule kak
Kiukweli nampenda and am too honest , Sina Namna . Siyo kwa sababu ya shape yake ya kibantu wala nini her eyes her eyes her eyes .. The way anafeel my thing inside Her, the way anarespond to my ..damn damn ..Sikuweza tembea nilisimama kwenye mvua nikimtizama wakati anaishia , kama vile alicast spell on me , kufika Nyumbani , nkasema hapana sikai nikaoga chap nikabadili mavazi alafu huyoo Kwenda kupata kahawa , njia nayopita huyu hapa kuniona kasimama katikati .. siwez hata kuongea Taratibu akasema za Saa hizi , Naweza pata number yako , I gave her nikamsindikiza tena kwa macho .. siku zikasonga mahaba mengiiii mengiii naoneshwa Mie .. Siku ya tukio ikafika Kwanza nlipewa kimoko , utamu ukabaki .. na ukweli kujua anajua , siku zikasonga nimefall nimefall Ila baada ya kuona kaniona many times drama zikaanza , Mtoto WA watu Mimi nafosi penzi , kuja kupata details shes married , na anapenda light skinned men , ako namultiple relationships .. alafu at last Leo kaniambia she just wanted my Mjulus and nothing more
Huyo National Anthem ni mbobezi insta na mzee wa kupambani yy mbobezi julianaLabda kiwanda Cha kuwaibia watu, nikishirikiana mwizi mzoefu National Anthem pamoja na mzee kuchora mipango Mzee wa kupambania