JamiiForums Usiku wa manane
Niko powa My lady ..

Hayajapita masaa nilikuwa nikizungumzia mahaba na vijana wenzangu ..

It was funny though BSE Wenyewe wanasema last time wameexperience mahaba hawakumbuki .. it's just

Pesa mbele .. Pant down .. TWA twa TWA en it's over ..
Wapo ukibahatika, ila ndiyo kuwapata sasa. Na bahati mbaya ilivyo mtu huombi hela unapata sakasaka tu. Ndiyo maisha...
 
La kujifunza my sidhani my lady .. just tuu niwe huru ,

Kupitia Hili nimegundua Kuwa siyo wanaume tuu wanawatumia wanawake pia wanawake wanawatumia wanaume .. Ile mbaya ..
Just mwisho WA mwaka Jana nipo mtaa hivi na wanangu kapita mamdogo mmoja hivi , mrefu wastani. Maji ya kunde /weusi WA kung'aa , jicho analo .. kiuno pia kipo .

Kwa ufupi anazo qualities zote za kuwafanya wanaume mashababi Wamtizame .. sikumtilia maanani kivileee but macho yake yalikuwa kwangu . Macho yenye kuzungumza , next dei mvua inanyesha nakimbia kurudi Nyumbani nakutana nae

She looked at me , akatabasamu kisha akankonyeza , damn she's cute .. akaharibu siku kabisa .. nilifreeze ..
 
Back
Top Bottom