JamiiForums Usiku wa manane
😂😂😂😂😂 Kumbe unamjua ahahahahahahahahahah
Daah nimecheka sana
Sasa huyu Santos06 tunaweza kumpa zamu ya lindo kweli
Uwoni avatar yake ina sadifu
Sikuwa namjua kabla. Mpk humu walivyoanza kumzungumzia. Ni hatari na nusu. Ila imemkaa utasema yeye 😂😂😂😂😂 Hafai kumwachia lindo, mimba zitapigwa hapa na pale...
 
Back
Top Bottom