Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,140
Ahahahaahah daah ndo unachowaza hicho alaaah😂😂😂😂Kwa juu juu utaenjoy?
Ahahahaahah daah ndo unachowaza hicho alaaah😂😂😂😂Kwa juu juu utaenjoy?
Mkuu kimyaSorry ni TIBA Mkuu, Kuna tatizo kubwa Sana Africa, magonjwa yanayohusiana na genetics, brain ni mengi mnoo and they need solution.
I believe iam gonna be part of the system solver Poor Brain
Weekend hii why ujichoshe na mambo magumu? Ni kuenjoy tu maisha ni hayahaya... naumwagilia moyo hapaAhahahaahah daah ndo unachowaza hicho alaaah😂😂😂😂
Atazagamuana na mito hajaoa uyuNikajua muda huu unazagamuana bana
Kuna hii 🍺 unatumia?Asante ,hakuna kahawa ya mgeni,niwasaidie lindo
Ahahahahah kweli kabisa maisha haya haya wacha tuinjoiWeekend hii why ujichoshe na mambo magumu? Ni kuenjoy tu maisha ni hayahaya... naumwagilia moyo hapa
Daaah na hiyo avatar hiyo.Nimeshatia signature
Nilikuwa namjibu mtu, ila genetic dissorder Kuna sickle cell, cystic fibrosisMkuu kimya
Huyo kwenye avatar ndo Mzee wa kupambania SasaDaaah na hiyo avatar hiyo.
Atutaki utie signature hapa unatishia amani 😂😂😂😂
Magonjwa ka hayo ni tatizo kubwa hapa africa...?Nilikuwa namjibu mtu, ila genetic dissorder Kuna sickle cell, cystic fibrosis
Ukorofiii huoYanga na simba nani Bingwa?
Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaa
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Sasa utafanya kina Bantu Lady na Dahan wakimbie uzi 😂😂😂Huyo kwenye avatar ndo Mzee wa kupambania Sasa
Sio Africa bali dunia nzima!!, Umeshasoma ripoti ya shilika la afya la afrika ??. Threat wazokumbana nazo kuhusu na magonjwa haya😪😪Magonjwa ka hayo ni tatizo kubwa hapa africa...?
Kama unamjua huyo mtu, hufiki mbinguni. Bora mimi nimemjua baada ya mtu, siku kumwambia Santos atoe hiyo Avatar, nikagoogle nikajua.Sasa utafanya kina Bantu Lady na Dahan wakimbie uzi 😂😂😂
Akiiiiii😂😂🤐😂, simjuiiiiKama unamjua huyo mtu, hufiki mbinguni. Bora mimi nimemjua baada ya mtu, siku kumwambia Santos atoe hiyo Avatar, nikagoogle nikajua.
😂😂😂00:55 chuki ni bure labda uombe usizaliwe, ila as long as tuko hai kila kitu freshhh