JamiiForums Usiku wa manane
Wewe SipeNDI kuoGA team kataa ndoa😂😂😂 acha kumshauri zwangandaba ivooo😢
Unajua kila mtu ana uchizi naturaly ila sasa ukivurugwa itategemea utaerupt kwa kiwango gani na vile utaeza kucontrol.. Ndo maaa wengine wanaweza kuhandle wengine hawawez kutokana na mental health level waliyonayo wakat huo... 😂😂😂
Ndo maana nimemwambia huu ni ushauri maamuxi ni yake

Apime mwenyewe na akili zake zipoje kama ni hafifu kama za Poor Brain akae mbali tu sasa 😂😂
 
Hehe watu wana overate sana kuoga newton alikuwa anaoga mara 2 au 1. Kwa wiki na pia alikuwa mkeshaji sana

Na mimi hii tabia nimeianza since o level hivyo nimezoea 😑😑
Mwenzio newton alikua uko hata hali ya hewa baridiii😂😂😂mtu upo mabibo katikati hapa joto kama loote alafu bado huogii😂😂😂
 
Utakuja jutia hiyo tabia....
Sasa kama muda wote nipo hostel nimejifungia na code tu ma program kwenye pc hata wiki nxima sitoki kuoga ya nn

Yaani daily routine yangu ni kula,kucode,kusikiliza muziki,kusali,kulala. Hapo hapo ndani kwangu 🤔

Hivyo naoga siku nikienda chuo tu au kwenye mizunguko 😊
 
CP inapanda hapo kama ujaoga...!??
 
Huyu ndo maana abaki kwa music tu.. Kuke kwengine kwa uchafu huuu mmnhh mnhhh hapanaaaa haitowezekn😂😂😂😂😂 kuna sehemu zitakua zinatemaaa vibaya mnooo huyu hatowezaa😂😂😂😂😂
Hahaha 🤣. Sijaamua tu kuwa msafi sio kwamba siwezi lkn

Ni maamuxi sijachukua
 
Sasa kama muda wote nipo hostel nimejifungia na code tu ma program kwenye pc hata wiki nxima sitoki kuoga ya nn

Yaani daily routine yangu ni kula,kucode,kusikiliza muziki,kusali,kulala. Hapo hapo ndani kwangu 🤔

Hivyo naoga siku nikienda chuo tu au kwenye mizunguko 😊
Kwaio mzee wa ma programming.. Wewe huogi kwaajili yako mwenyewe unaoga kwa ajili ya wengine😂😂😂
 
Kwaio mzee wa ma programming.. Wewe huogi kwaajili yako mwenyewe unaoga kwa ajili ya wengine😂😂😂
Yaani naoga kama nikitoka ili nisiwape tabu watu ya harufu mbaya 🤢🤢🤢🤢 wasije wakatapika

Ndo maana kiroho safi nahakikisha sina ukurutu na mwili unanukia vizuri kabla sijatoka ndani

Ila nikijifungia ndani wiki walai siogi ngooo 🤣🤣🤣🤣
 
Ndo huwez sasa had uamue😂😂😂
Ntakuwa msafi nikiwa na hela za kutosha au nikiajiriwa sehemu nzuri nzuri

In short financial stable ndo ntaanza kujipenda

Au ntaagiza mtu awe ananiogesha asee maana kuoga ni kazi kwangu 🤔.

Kufua ndo usiseme 🧴
 
Back
Top Bottom