JamiiForums Usiku wa manane
Achana na mimi ww 🤣

Napenda mwili wangu ukiwa mchafu hukusikia habari ya yule jamaa aliyekufa hakuoga miaka 50 akaoga akafa hapo hapo

Kuoga sana unapunguza siku zako za kuishi 😒😒😒
Yule aliyekua akiishi dump....
Sawa ushauri unatoa mzuri sana ila tatizo lako ndo hilo.. 😂😂😂
Badili msimamo wako sasa kemea pepo la uchafu
 
Stress haziepukiki kabisa....
Naweza sema zinachangika kwa asilimia kubwa
Daaah you need to keep pushing

Nilivyokuwa mdogo nilikuwa nashangaa kwann watu wanakunywa pombe na madawa ya kulevya ila saivi nimeelewa kweli

Haya maisha usipokuwa vizuri kiimani changamoto na stress za maisha zinaweza zikakupeleka sehemu mbaya sana ila its life 😒😒😒 so sad
 
Kabisa mdogo angu.. stress kitu kingine
Unaweza sahau hata kuoga aiseee🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom