JamiiForums Usiku wa manane
Kwenye niwape mimba tu na kuishi nao sio,imekaa vizuri pia,
Ila ndoa sikatai,kuchapiwa Siri ya ndani,wakinimegea na mimi naitafuta mnyonge nammgea
Usiongee kirahisi hivyo mkuuu

Kuna mtu alichapiwa akawa chizi unajua hilo mwingine alijinyonga mwingine alimfira huyo mwanaume na akawauwa. Wote mke na yeye na huyo mwanaume

Kuna mmoja alichapiwa akakaa wiki akafa na pressure

Bro acha kabisa

Ila huu ni ushauri tu maamuxi ni yako tu
 
Kwanza hulali... Pia huogi..
Hiyo collaboration yake hapo so poa
Litakufa jitu😂😂😂😂
Hehe watu wana overate sana kuoga newton alikuwa anaoga mara 2 au 1. Kwa wiki na pia alikuwa mkeshaji sana

Na mimi hii tabia nimeianza since o level hivyo nimezoea 😑😑
 
Usiongee kirahisi hivyo mkuuu

Kuna mtu alichapiwa akawa chizi unajua hilo mwingine alijinyonga mwingine alimfira huyo mwanaume na akawauwa. Wote mke na yeye na huyo mwanaume

Kuna mmoja alichapiwa akakaa wiki akafa na pressure

Bro acha kabisa

Ila huu ni ushauri tu maamuxi ni yako tu
Wewe SipeNDI kuoGA team kataa ndoa😂😂😂 acha kumshauri @zwenge ndaba ivooo😢
Unajua kila mtu ana uchizi naturaly ila sasa ukivurugwa itategemea utaerupt kwa kiwango gani na vile utaeza kucontrol.. Ndo maaa wengine wanaweza kuhandle wengine hawawez kutokana na mental health level waliyonayo wakat huo... 😂😂😂
 
Back
Top Bottom