JamiiForums Usiku wa manane
They say a person, needs just three things to be truly happy, in this world.
1. Someone to love.
2. Something to do.
3. Something to hope for.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐ŸŒบ๐ŸŒน๐ŸŒท๐Ÿโš˜๐ŸŒป๐ŸŒผ
Na uko na vyote sasa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜hongera mamaa
 
Destroy the bad influence inside you and generate the best one
Screenshot_20230224-022444_1.jpg
 
Huu Uzi bana,mwaka juzi Kuna siku usiku nilikosa usingizi ,nikapita apa nikaopoa binti,tukazama pm ,kumuuliza mbona haulali mpaka saivi,si nikadanganya Niko Venezuela muda huu uku ni mchana,penzi lilivyokolea si tukabadilishana namba ya simu,duh nikajisahau ,kupiga nikapokea ,Mara pap wewe si umesema uko Venezuela,niliumbuka sitasahau.na penzi likaishia Apo Apo Bila kuonana
Daaah komanya ulizingua sana ungesema hata uko kenya nakuru kwenye NGO kubwa una stress za bosi wako ๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‚
 
02:45 natamani kuwa single, kibaya ubuyu ndo unanikaba koo
Mabinti wenye vifundo, hao ndo wananitoaa roho

Asili ya Jambo lile, ni kama chakula so lazima nile
Mi mbovu Sana wa Jambo lile, nina ufundi wa kutosha

Mwenzako mi nilikufa,nikazikwa,nikaoza
Mapenzi yalinitesa yalinituoa
Sasa nimefufuka ehh

Komasimita everyone ๐Ÿ’ช๐Ÿ™๐Ÿ’ช
 
When the time is right,I will marry.
Naachana na Hawa vijana wa kataa ndoa
Ohooo

Mi niko pale ukiletewa mtoto ambae si wako usilaumu mtu mkuu kuna zongwe huko mi ninashuhuda kama 69 hivi za ndoa za watu zinatisha sana

Ishi kama Ronaldo
Au unasemaje
 
Ohooo

Mi niko pale ukiletewa mtoto ambae si wako usilaumu mtu mkuu kuna zongwe huko mi ninashuhuda kama 69 hivi za ndoa za watu zinatisha sana

Ishi kama Ronaldo
Au unasemaje
Kwenye niwape mimba tu na kuishi nao sio,imekaa vizuri pia,
Ila ndoa sikatai,kuchapiwa Siri ya ndani,wakinimegea na mimi naitafuta mnyonge nammgea
 
Back
Top Bottom