JamiiForums Usiku wa manane
Wanalala usingizi mtamu isipokua sio masaa mengi hahaha,Sasa wakina sisi haujui kesho kazini unaendaje,,kucheki unga uko robo,ukicheki mchepuko anakuambia ,"bby usisahau kutuma na ya kutolea"
Ivi mkuu ni kweli maskini faraja yake ni sx?... Maana mtu ana mawazo kibao home hapasomekiii na bado ana mchepuko😂😂😂 rich people huo muda hawanaga et au imekaaje hii.. 😂😂
 
Ivi mkuu ni kweli maskini faraja yake ni sx?... Maana mtu ana mawazo kibao home hapasomekiii na bado ana mchepuko😂😂😂 rich people huo muda hawanaga et au imekaaje hii.. 😂😂
Umewaza kama mimi. Yaani mwanaume, hata awe na kipato cha kuweza kula mlo wa siku moja. Mtaa wa pili ana mchepuko. Huwa siwaelewi wanaume...
 
Ivi mkuu ni kweli maskini faraja yake ni sx?... Maana mtu ana mawazo kibao home hapasomekiii na bado ana mchepuko😂😂😂 rich people huo muda hawanaga et au imekaaje hii.. 😂😂
Maskini starehe yake ngono,ata kama Ana kitu ,ngono ni basic need kwake hahah,kile akipatacho lazima budget ya kutiana iwepo,wakati tajiri anawaza kuongeza zaidi na zaidi ela iingie kwenye maendeleo
 
Huu Uzi bana,mwaka juzi Kuna siku usiku nilikosa usingizi ,nikapita apa nikaopoa binti,tukazama pm ,kumuuliza mbona haulali mpaka saivi,si nikadanganya Niko Venezuela muda huu uku ni mchana,penzi lilivyokolea si tukabadilishana namba ya simu,duh nikajisahau ,kupiga nikapokea ,Mara pap wewe si umesema uko Venezuela,niliumbuka sitasahau.na penzi likaishia Apo Apo Bila kuonana
 
Huu Uzi baba,mwaka juzi Kuna siku usiku nilikosa usingizi ,nikapita apa nikaopoa binti,tukazama pm ,kumuuliza mbona haulali mpaka saivi,si nikadanganya Niko Venezuela muda huu uku ni mchana,penzi lilivyokolea si tukabadilishana namba ya simu,duh nikajisahau ,kupiga nikapokea ,Mara pap wewe si umesema uko Venezuela,niliumbuka sitasahau.na penzi likaishia Apo Apo Bila kuonana
😂😂😂😂😂😂😂😂Duuh
 
Penzi lilivokolea ukasahau uongo mkuu😂😂😂
alaf ile kuwa mkweli ukaachwa solemba😂😂😂😂
 
Asta la Vista guys, great Intelligent businessman was here
Screenshot_20230224-022435_2.jpg
 
They say a person, needs just three things to be truly happy, in this world.
1. Someone to love.
2. Something to do.
3. Something to hope for.
😍😍😍😍😍😍😍
🌺🌹🌷🍁⚘🌻🌼
 
Back
Top Bottom