Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,421
- 96,775
Dahan umenichomesha, boss Bantu Lady ana andika gazeti la nipashe hukoo
Kweli aisee to sleep is for the rich,ntalalaje wakati Sina kitu mfukoniHatulali wote mkuu.. 😂
Mkishaleta mkatee mnaleaa alafu mnalindaa😂😂😂Wapi ww kazi yetu kuleta mkate na kuwalinda familia zetu 🤔😑😂😂
Itakua jini mahaba kakumbuka ,kua makini,asije akakupitia Kama upepoNyie mnajua kudekezwa? Unafanya na kusema chochote na mtu anazidi kukupenda...
Jamani raha acheni, nani kanitaja mpaka nimeshtuka usingizini?
Na jinsi vitoto vinavyolialia daah kwenye kulea ni 7% zingine ni zenuMkishaleta mkatee mnaleaa alafu mnalindaa😂😂😂
Io kwako wewe kwangu mimi ana 45%😂😂😂Na jinsi vitoto vinavyolialia daah kwenye kulea ni 7% zingine ni zenu
Mkuu si wanasema riches dont sleep? au ndo sielewi kingleza😂😂Kweli aisee to sleep is for the rich,ntalalaje wakati Sina kitu mfukoni
Mtatuua asee ndo maana tunawahi kufa na mapressure na kisukari daah pesa nitafute,nikuridhushe 6 kwa 6, na watoto ni lee tena daahIo kwako wewe kwangu mimi ana 45%😂😂😂
Mwenzio huba limemkoleaa huko😂😂😂Dahan umenichomesha, boss Bantu Lady ana andika gazeti la nipashe hukoo
Anakuwaga na wivu, hataki mashemeji huyo 😉😅😅😅😅Mwenzio huba limemkoleaa huko😂😂😂
Yupo kufocus na life😂😂😂Dahan mbona Intelligent businessman kapotea ghafla? 😁😁😁😁
😂😂😂😂Nani kakwambiaa?Mtatuua asee ndo maana tunawahi kufa na mapressure na kisukari daah pesa nitafute,nikuridhushe 6 kwa 6, na watoto ni lee tena daah
Ndo maana kataa ndoa gang inakuwa day to day 🤔🤔
Ila sio lazima unipe namba tuongeeAnakuwaga na wivu, hataki mashemeji huyo 😉😅😅😅😅
Panga mkononi, roho yangu begani. Nikiwin Safi, wakinishika ndo imeishaaa aigoo DahanYupo kufocus na life😂😂😂
Mashemej hawaend mbingun😂😂😂 madam,..Anakuwaga na wivu, hataki mashemeji huyo 😉😅😅😅😅
Wanalala usingizi mtamu isipokua sio masaa mengi hahaha,Sasa wakina sisi haujui kesho kazini unaendaje,,kucheki unga uko robo,ukicheki mchepuko anakuambia ,"bby usisahau kutuma na ya kutolea"Mkuu si wanasema riches dont sleep? au ndo sielewi kingleza😂😂
Dahan Mapenz yetu hayana hata wiki, unaanza kunisnitch hazarani🤔🤔Mwenzio huba limemkoleaa huko😂😂😂