Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Kulikoni best ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Kulikoni best ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Hivi kuna watu wanatafuta wachumba online bado ๐ค๐ค๐ค๐คSasa bora yeye anazifanyia hivyo, kuwafata wabaya wake. Wengine hizo ID anakutongoza na hii, anakuja na nyingine yaani hata km anazo 5 anakutongozea zote. Bora nilifungaga pm kabisa...
Asta la Vista mr pool table ๐ช๐ช02:40 Goodbyes najaga๐ช๐ช
Bye02:40 Goodbyes najaga๐ช๐ช
๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญSa itakuajeee? Kumbe unanidanganya tuu hapaMadam Bantu Lady shida sio pesa Wala kazi, shida ni kufocus tu zat all. Nikikuambia iam not allowed to have a girlfriend unaeza usiamini
Umemkabidhi nani lindo mr๐ ๐ ๐02:40 Goodbyes najaga๐ช๐ช
May be 1 day or in next life nikizaliwa tena๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญSa itakuajeee? Kumbe unanidanganya tuu hapa
Najionea tu maajabu. Poleni sana kumbe mna makubwa hivi yanawasibu.Kulikoni best![]()
Yaani ujinga mtupu, sasa nilikuwa nafuta pm za miaka hiyoo 8 iliyopita. Kuna mmoja alikuja nikamtolea nje. Mwaka huu kaja na ID nyingine sikujua ila nikamtolea nje. Majuzi naambiwa zote zake ๐๐๐๐๐ anaona aibu balaa hata alike tena aibu yake.๐๐๐๐Alafu anataka ukubali zote๐ ๐ ๐ alafu mwisho wa siku anakuchora
alaf anakuona bitch huna focus.. ๐๐๐๐Unyama ni mwingiiii.... Wanaume bhana๐
Wahuni tu, hakuna cha mchumba wala nini. Kwanza kuna wanaume wameweka Avatar za kike, wengi tu. Kuanza kujua huyu ni ke or ni me nacho kibarua kipya.Hivi kuna watu wanatafuta wachumba online bado ๐ค๐ค๐ค๐ค
Duuh hii noma asee
Uliikataa dhahabu madam o Bantu Lady,it wozi mi ua bodyguardYaani ujinga mtupu, sasa nilikuwa nafuta pm za miaka hiyoo 8 iliyopita. Kuna mmoja alikuja nikamtolea nje. Mwaka huu kaja na ID nyingine sikujua ila nikamtolea nje. Majuzi naambiwa zote zake ๐๐๐๐๐ anaona aibu balaa hata alike tena aibu yake.
Halafu ww ni ndugu yangu kabisa. Kna siku nilikiuloza ka swali kwenye uzi wa umughaka ukajibu ila sikuendelea. Nikaja pm nikwambie nikakuta sole. Sikutaka kukwambia maana ungehisi ni mipango ya

. Leo ndio nimejua sababu ya solex

Madam Bantu Lady usitupondee si wengine vibaka tuuWahuni tu, hakuna cha mchumba wala nini. Kwanza kuna wanaume wameweka Avatar za kike, wengi tu. Kuamza kujua huyu ni ke or ni me nacho kibarua kipya.
Daah tamaa tu zinatusumbuagaWahuni tu, hakuna cha mchumba wala nini. Kwanza kuna wanaume wameweka Avatar za kike, wengi tu. Kuamza kujua huyu ni ke or ni me nacho kibarua kipya.
Avatar yangu pia nipangiwe cha kufanya? Hell no๐๐๐๐๐Hahaha namimi nilikuwa nakuzoom tu sana na hiyo avatar yako unavyobadilisha kila muda mda mwingine unakesha kama jana nakuangalia tu
Hahaha dahany bana ๐ฆ ๐ฆ
Hujapangiwa mkuu ila ........Avatar yangu pia nipangiwe cha kufanya? Hell no๐๐๐๐๐
Umbea tuuuu๐ ๐ ๐
Yeah nakumbuka uliniuliza, kwenye ule uzi. Tukawa wote tunatokea sehwmu moja. Yes nafunga sababu ya baadhi ya watu, si wastaarabu wao ni hayo tu hawana jipya la maana. Pole si unaona hadi ndugu tumewafungia vioo ๐ ๐ ๐ ๐Halafu ww ni ndugu yangu kabisa. Kna siku nilikiuloza ka swali kwenye uzi wa umughaka ukajibu ila sikuendelea. Nikaja pm nikwambie nikakuta sole. Sikutaka kukwambia maana ungehisi ni mipango ya. Leo ndio nimejua sababu ya solex
![]()
Incasee ukizaliwa tena, pulizzi nipigie simu o Bantu LadyYeah nakumbuka uliniuliza, kwenye ule uzi. Tukawa wote tunatokea sehwmu moja. Yes nafunga sababu ya baadhi ya watu, si wastaarabu wao ni hayo tu hawana jipya la maana. Pole si unaona hadi ndugu tumewafungia vioo ๐ ๐ ๐ ๐
Wa online c ndo hao wapo mtaani๐๐๐ukikutana nae mtaani ukachukua namba yake utamkuta online...Hivi kuna watu wanatafuta wachumba online bado ๐ค๐ค๐ค๐ค
Duuh hii noma asee