JamiiForums Usiku wa manane
Yeah nakumbuka uliniuliza, kwenye ule uzi. Tukawa wote tunatokea sehwmu moja. Yes nafunga sababu ya baadhi ya watu, si wastaarabu wao ni hayo tu hawana jipya la maana. Pole si unaona hadi ndugu tumewafungia vioo
Binafsi huwa naelewa sana nikikuta binti kapiga solex.
Na huwa simtafuti tena kwa njia hiyo labda yeye aanze maana najua ni kwa usalama wake.
 
Wa online c ndo hao wapo mtaani😂😂😂ukikutana nae mtaani ukachukua namba yake utamkuta online...
ukimkuta online ukachukua namba yake utamkuta mtaani😅😅😅😅
Sasa mtu unatongoza li mtu la sumbawanga au rukwa au njombe kwenye barafu we upo dar hostel za mabibo wakati mtaani wamejaa kila sehemu huo si ushumbanga

Na kupoteza muda bora ufanye practicals za mtongoxo kuliko theory za kukariri 😂😂😂😂
 
Amina, na ikawe hivyo 🙏🙏🙏.
Siku hiyo ukiolewa, nitaonyesha kipaji changu Cha kula 0 Bantu Lady Dahan
FB_IMG_16766219923355491.jpg
 
Back
Top Bottom