Madam bora ninavyo ingia humu kucheka, but GOD knows what happening to meNdioo uwe na focus kijana... 😂😂😂Mengine yapo tuu
Mtabiri kama mtabiri makini kabisa...02:30
Nikawa najiuliza kidume yu wapii😂😂😂ila nikiona comment za pastor p nasahau kutag kumbe ni walewale😂😂😂waquba bhanaKuna pastor p kuna KIDUME20 na tombile zote ni account moja ila kaxi yangu ni kubadili majina tu
Mtu akinizingua namfuata inbox mamshushia matusi naepa nabadilisha jina na lock profile easy game 😵😵
Usihamie huko, enjoy laughingMadam bora ninavyo ingia humu kucheka, but GOD knows what happening to me
Naam nipo leo usingizi hauji kabisa yaan 😂Mtabiri kama mtabiri makini kabisa...
Ndiooo... mimi mwenyewe nafurahia uwepo wako humu.. Usikate tamaa mtu wangu👍Madam bora ninavyo ingia humu kucheka, but GOD knows what happening to me
Sasa bora yeye anazifanyia hivyo, kuwafata wabaya wake. Wengine hizo ID anakutongoza na hii, anakuja na nyingine yaani hata km anazo 5 anakutongozea zote. Bora nilifungaga pm kabisa...Nikawa najiuliza kidume yu wapii😂😂😂ila nikiona comment za pastor p nasahau kutag kumbe ni walewale😂😂😂waquba bhana
Bro Kuna watu wanataka watuue kisa kufocus tu, si wengine hatuwezi hayo majukumu wanayo tubebeshaUsihamie huko, enjoy laughing
Sasa bora yeye anazifanyia hivyo, kuwafata wabaya wake. Wengine hizo ID anakutongoza na hii, anakuja na nyingine yaani hata km anazo 5 anakutongozea zote. Bora nilifungaga pm kabisa...





Iko siku yako, amini na muamini Mungu. Sali kwa Imani yako na uwe na Imani. Mwenyezi Mungu, siyo kiziwi wala kipofu. Yote anayaona na kuyasikia, ipo siku isiyo na jina yote yatabadilika. Usikate tamaa, shida zikizidi faraja i njiani.Madam bora ninavyo ingia humu kucheka, but GOD knows what happening to me
Hahaha namimi nilikuwa nakuzoom tu sana na hiyo avatar yako unavyobadilisha kila muda mda mwingine unakesha kama jana nakuangalia tuNikawa najiuliza kidume yu wapii😂😂😂ila nikiona comment za pastor p nasahau kutag kumbe ni walewale😂😂😂waquba bhana
Achana nao hao bhana ishi maisha yako inte.. 😔Bro Kuna watu wanataka watuue kisa kufocus tu, si wengine hatuwezi hayo majukumu wanayo tubebesha
Ukiona mpaka ulipata nguvu ya kueleza na ukapata ushauri, that means God loves youBro Kuna watu wanataka watuue kisa kufocus tu, si wengine hatuwezi hayo majukumu wanayo tubebesha
Madam Bantu Lady shida sio pesa Wala kazi, shida ni kufocus tu zat all. Nikikuambia iam not allowed to have a girlfriend unaeza usiaminiIko siku yako, amini na muamini Mungu. Sali kwa Imani yako na uwe na Imani. Mwenyezi Mungu, siyo kiziwi wala kipofu. Yote anayaona na kuyasikia, ipo siku isiyo na jina yote yatabadilika. Usikate tamaa, shida zikizidi faraja i njiani.
Enzi hizo nilikuwa yanki sana kuanzia january 14 nika transition kutokana na upepo wa baadhi ya wapumbavu wachache humu ndaniKatika account zako zote...KIDUME 20 ndo rafiki yangu
😂😂😂😂Alafu anataka ukubali zote😅😅😅alafu mwisho wa siku anakuchoraSasa bora yeye anazifanyia hivyo, kuwafata wabaya wake. Wengine hizo ID anakutongoza na hii, anakuja na nyingine yaani hata km anazo 5 anakutongozea zote. Bora nilifungaga pm kabisa...
Yeah🤣🤣🤣🤣 kama simbaEnzi hizo nilikuwa yanki sana kuanzia january 14 nika transition kutokana na upepo wa baadhi ya wapumbavu wachache humu ndani
Ila no worries I'm a good guy mbona 😂😂😊😊😊
Sometimes nikibadilika nakuwa kama simba 😠😠😠😠 🦁