Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Kama bado hujaelewa huwez kuelewa milele😂😂😂😂... 😂😂😂Nashindwa elewa yaani🤣🤣
Weka picha yako, tuone huo uajabu wake kwanza.Ila Dahan hongera bibie, mi naogopa nisije leta viumbe vya ajabu dunia hii. Mana nawaza nikileta type yangu dah majanga times 10×
Weka picha yako, tuone huo uajabu wake kwanza.
Vizuri best akabe mpaka penalt, maana humu mmmh watu waizi sana 😂😂😂😂Nipo nipo nimekuja kusinfikiza lindo leo
cocastic amenikaba balaa sipumui😁
Kuna pastor p kuna KIDUME20 na tombile zote ni account moja ila kaxi yangu ni kubadili majina tuMtumbad64 ila hata ile iliyobanwa leo, si ya siku zote una yako ya siku zote ya humu 🤣🤣🤣🤣🤣 ndiyo inaanza na? ...
Yaani nilichowaza ndicho hiko... si unaona ahahaha ngoja nichukue notes hapo, kama nitaweza siku yakitokea.Kuna pastor p kuna KIDUME20 na tombile zote ni account moja ila kaxi yangu ni kubadili majina tu
Mtu akinizingua namfuata inbox mamshushia matusi naepa nabadilisha jina na lock profile easy game 😵😵
Madam my teacher told me njia bora ni kufocus tu, no chance of mizagamuano for now😂😂😂😂😂
Mimi ni yaya tuu😂😂😂Aise Bantu Lady ngoja nikazane na wewe upate 6 figures at once si unaona Dahan anavyo kuringishia
Haha jf raha sana tena haya mambo ya it nina mpango wa kuja kui hack siku moja 🤣Yaani nilichowaza ndicho hiko... si unaona ahahaha ngoja nichukue notes hapo, kama nitaweza siku yakitokea.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vizuri best akabe mpaka penalt, maana humu mmmh watu waizi sana 😂😂😂😂
Kuku wa maziwa times 10× o Bantu Lady njoo huone hiki kinyongaMimi ni yaya tuu😂😂😂
Ndioo uwe na focus kijana... 😂😂😂Mengine yapo tuuMadam my teacher told me njia bora ni kufocus tu, no chance of mizagamuano for now
Katika account zako zote...KIDUME 20 ndo rafiki yanguKuna pastor p kuna KIDUME20 na tombile zote ni account moja ila kaxi yangu ni kubadili majina tu
Mtu akinizingua namfuata inbox mamshushia matusi naepa nabadilisha jina na lock profile easy game 😵😵
Hawezi sijawahi ona amecomment, yeye anapita na like tu. Style yake ya peke yake. Mimi ni shabiki ake ati 😅😅😅😅 mkwepu jrFor sure, amezimwaga sawa likes, atupe japo neno.