Yaani sikuwa huko, kuna uzi mwingine alianzisha yuleyule. Ndiyo nilikuwa nausemea. Mambo ni mengi sanaNice madam, nilihisi unataka umwage mboga mapema hii. Sorry incase nimeku offend🙏🙏
Abdala kala mbwa, Bantu Lady inatosha kwa leo. Bora turudi kwenye mizagamuano yetu bebiNashindwa elewa yaani🤣🤣
Yaani ukiona unapania kabisa kuandika matusi sehemu kama hii ya kupata tu burudani, ukiboreka una switch off data. Jiulize mara 2 kuhusu afya ya akili yakome ngja nikae hivhiv naona siyawezi hayo ya kupigana ban .
Ila Kuna siku ntauwasha.
Kuna kipindi nataka andika matusi alaf naacha tu.
Haka kaujinga inabidi nikaache Kwa ni Ban kitu gani![]()
Mchana na jioni maranyingi busy na watoto madam.. Kuhandle triplets ilivo kazi😢😢usiku ndo hivi nakuwa free mode wakiwa wamepumzikaa..Yaani wewe nenda kajisomee tu. Uzi wenyewe umepigwa pin kucomment. Kwani huwa unatembeleaga wapi shoga, mchana na jioni? Maana nakuona humu tu usiku wa manane. Hatupishani njiani humo hata siku moja
Ndo nilikuwa huko pia, ila bora turudi kwenye mizagamuano bebi Bantu LadyYaani sikuwa huko, kuna uzi mwingine alianzisha yuleyule. Ndiyo nilikuwa nausemea. Mambo ni mengi sana
Hongera kipenzi, mbona nakutamania 😘😘😘😘😘 aisee raha sana. Napenda sanaMchana na jioni maranyingi busy na watoto madam.. Kuhandle triplets ilivo kazi😢😢usiku ndo hivi nakuwa free mode wakiwa wamepumzikaa..
Nishakuambia Dahan walete tukae wote hutaki, Bantu Lady mwambie anielewe basiiMchana na jioni maranyingi busy na watoto madam.. Kuhandle triplets ilivo kazi😢😢usiku ndo hivi nakuwa free mode wakiwa wamepumzikaa..
Wow pole💪Mchana na jioni maranyingi busy na watoto madam.. Kuhandle triplets ilivo kazi😢😢usiku ndo hivi nakuwa free mode wakiwa wamepumzikaa..
Izo hasira wenzio zinakujaga automatically.. Sio wewe izo zako unaplan kabisaa😂😂😂😂😂 me ngja nikae hivhiv naona siyawezi hayo ya kupigana ban .
Ila Kuna siku ntauwasha.
Kuna kipindi nataka andika matusi alaf naacha tu.
Haka kaujinga inabidi nikaache Kwa ni Ban kitu gani 😁😁
Aise Bantu Lady ngoja nikazane na wewe upate 6 figures at once si unaona Dahan anavyo kuringishiaHongera kipenzi, mbona nakutamania 😘😘😘😘😘 aisee raha sana. Napenda sana
MwenNashindwa elewa yaani🤣🤣
😂😂😂😂😂 Eti au ndo waleYaani ukiona unapania kabisa kuandika matusi sehemu kama hii ya kupata tu burudani, ukiboreka una switch off data. Jiulize mara 2 kuhusu afya ya akili y
Mwingine anayetaka kichambo au ugomvi wa kununua?


nipe hicho kichambooo


Umechelewa offer imeisha, next time...nipe hicho kichambooo
![]()
Nadhani auto haitakaa itokee Bora nipanie nione faida ya ka ban hata kamoja tu kakujitakia.🤣🤣Izo hasira wenzio zinakujaga automatically.. Sio wewe izo zako unaplan kabisaa😂😂😂
National Anthem na Mzee wa kupambania wapo kwenye machimbo ya mizagamuanoSiku hizi watu wanatega sana lindo, ama wanalala mapema. Ankol National Anthem alisema mapema ana usingizi