Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,758
- 6,318
Niko hapa nitawakatia na risiti ya efd wakitaka😂😂😂
Mwingine anayetaka kichambo au ugomvi wa kununua?
Mwingine anayetaka kichambo au ugomvi wa kununua?
Kwa kweli ndugu yangu, nilale tu nipumzishe hili fuvu.Dada lala upumzike imetosha kwa leo![]()
Le tombile 😂😂😂😂Taja herufi ya kwanza tu nitajua 😄😄😄😄
Wow mnunua ugonvi walaa hayupo.Niko hapa nitawakatia na risiti ya efd wakitaka😂😂😂
Nishakumanya 😅😅😅😅😅 hatariii pole sana. Ila kawaida bora hata una ujanja huu. Miye nitakaa nisubirie kutoka tu kifungoni. Likitokea la kutokeaLe tombile 😂😂😂😂
Wakina yinyang na paw na moderator nimewakomesha kweli kweli tena nikawa pin kabisa wafungue na account yangu ile ya ye34nbe ban inatolewa eti 26/4 karume day just imagine
Any way ngoja nione ila ule uzi wasingefunga ingekuwa kisa kingine saizi
Hv mpka ugomvi na Moderator Inakuaje mkuu nielekeze namm niwawasgie moto one Day.Le tombile 😂😂😂😂
Wakina yinyang na paw na moderator nimewakomesha kweli kweli tena nikawa pin kabisa wafungue na account yangu ile ya ye34nbe ban inatolewa eti 26/4 karume day just imagine
Any way ngoja nione ila ule uzi wasingefunga ingekuwa kisa kingine saizi
Mi kibaka wa kimataifa tu, natafuta hela niishiThis night😳😳
Ban = lugha ya matusi uliyotumia tena ukikutana na snitch anamtag mods kabisa ili ajue kwenye account yangu kuna mtu alitag mods 6 mkuuuWow mnunua ugonvi walaa hayupo.
Halaf hivi mpka unapigwa ban Inakuaje 😂😂
Have a good dreamsKwa kweli ndugu yangu, nilale tu nipumzishe hili fuvu.
Nitukane hapa basi tupate ban nasisi😂😂😂haiwezekan tukae kizembe zembe hivHv mpka ugomvi na Moderator Inakuaje mkuu nielekeze namm niwawasgie moto one Day.
Thanks dear, sleeptight...Have a good dreams
Mimi niliwaunga wote pm wa 4 nikawaambia wanifungulie account yangu iliyopigwa ban since January ya ye34nbe ila wakawa wananijibu kimkatomkatoHv mpka ugomvi na Moderator Inakuaje mkuu nielekeze namm niwawasgie moto one Day.
Ila nilifanya kukushitua usimuumbue ndugu yetu huku🙏🙏Thanks dear, sleeptight...
Utapitwa na vingi jf kuna watu wazuri pia wenye madini asee siwezi kusubiri Mimi ilibidi tu niforce mazingira 😂😂Nishakumanya 😅😅😅😅😅 hatariii pole sana. Ila kawaida bora hata una ujanja huu. Miye nitakaa nisubirie kutoka tu kifungoni. Likitokea la kutokea
Hivi si nimimi ndiyo nilikuwa namtetea? Nitaanzaje tena kuongea kitu hata sina hakika nacho. Kwanza hayo mambo ni ya mtu binafsi. Kila mtu ana yake... nishaachana nayo kwanzaIla nilifanya kukushitua usimuumbue ndugu yetu huku🙏🙏
😂😂 me ngja nikae hivhiv naona siyawezi hayo ya kupigana ban .Nitukane hapa basi tupate ban nasisi😂😂😂haiwezekan tukae kizembe zembe hiv
Nice madam, nilihisi unataka umwage mboga mapema hii. Sorry incase nimeku offend🙏🙏Hivi si nimimi ndiyo nilikuwa namtetea? Nitaanzaje tena kuongea kitu hata sina hakika nacho. Kwanza hayo mambo ni ya mtu binafsi. Kila mtu ana yake... nishaachana nayo kwanza