Mkuu it was just a joke, hata yeye anajua hilooVijembe na matusi ya nini?
Yann leo ni moto🔥 everywhere wanatuchochaa😂😂😂 na hawasemi kituuAtumegee ka umbea ety🤣🤣
Yaani wewe nenda kajisomee tu. Uzi wenyewe umepigwa pin kucomment. Kwani huwa unatembeleaga wapi shoga, mchana na jioni? Maana nakuona humu tu usiku wa manane. Hatupishani njiani humo hata siku mojaNin kimetokea jaman😂😂😂😂
Jokes za kuniambia mwanamke mimi nina mdomo mkubwa. Ulishajaribu ukapwaya?Mkuu si tupo kwenye jokes ama😀😀
Basi boss Bantu Lady semaa kila kitu, maana umekasirika ghaflaa🤔🤔Yaani wewe nenda kajisomee tu. Uzi wenyewe umepigwa pin kucomment. Kwani huwa unatembeleaga wapi shoga, mchana na jioni? Maana nakuona humu tu usiku wa manane. Hatupishani njiani humo hata siku moja
Mi mwenyewe nimekula ban imenibidi nitengeneze id mpya usiku huu na moderator hata hawanijuiLeo JF ilichafuka watu wanakaa na vitu rohoni, hata hamsemi mpaka leo mmevimwaga mfululizo... JF sihamiiii
Utani fanya ila mambo ya utani kama unanichamba babu tutachambana, tena tutakesha tunachambana hapa mpaka kunakucha.Madam Bantu Lady au umeamka vibaya usiku huu, coz hujanizoe na utani huu🤔🤔
Too earlyFrom Dar 01:45 Hrs to the World. Good nite
I mean no malice 🙏🙏, Ni vile leo nimeokota shilingi 100 njiani. So iam sorry Bantu LadyJokes za kuniambia mwanamke mimi nina mdomo mkubwa. Ulishajaribu ukapwaya?
Wapo kutuacha njia panda hatujui tuelekee wapi.Yann leo ni moto🔥 everywhere wanatuchochaa😂😂😂 na hawasemi kituu
I mean no malice 🙏🙏, madam Bantu LadyUtani fanya ila mambo ya utani kama unanichamba babu tutachambana, tena tutakesha tunachambana hapa mpaka kunakucha.
I'm still aroundToo early
Its okI'm still around
Taja herufi ya kwanza tu nitajua 😄😄😄😄Mi mwenyewe nimekula ban imenibidi nitengeneze id mpya usiku huu na moderator hata hawanijui
Anyway siteteagi ujinga mimi
😕😕😕
Nipo hapa nanunua dawa ya mbuMwingine anayetaka kichambo au ugomvi wa kununua?
Dada lala upumzike imetosha kwa leoMwingine anayetaka kichambo au ugomvi wa kununua?

This night😳😳Nipo hapa nanunua dawa ya mbu