Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,885
- 51,711
Hamna kitu hapaa😂😂😂Ngoja tuone, huenda nikasamehewa
Asta la Vista pastorUsiku mwema mkuu![]()
Haahah tenzi za moyoni 😂😂😂Atakua anaandaa tenzi, tumgojee.
Puliziii ma bebi Dahan , givu mi anaza chenzaHamna kitu hapaa😂😂😂
Pamoja sana kamanda.. ✌Vizuri sanauwe na usiku mwema kamanda
Sasa amua, utanisameheee au ndo niishie Kama moshiii😆😆Wahuni watu wabaya sana... 😂😂😂Wanang'ata afu wanapulizaa😂😂😂😂
Shida we mwanamke una mdomo mkubwa kama choo Cha shimo, hizo story ziishie kuleeLeo JF ilichafuka watu wanakaa na vitu rohoni, hata hamsemi mpaka leo mmevimwaga mfululizo... JF sihamiiii
Kaa kwa kutulia mwanaume wewe. Utapata Ban kama wenzako... tuliaShoda we mwanamke una mdomo mkubwa kama choo Cha shimo, hizo story ziishie kulee
Vijembe na matusi ya nini?Shoda we mwanamke una mdomo mkubwa kama choo Cha shimo, hizo story ziishie kulee
Nin kimetokea jaman😂😂😂😂Leo JF ilichafuka watu wanakaa na vitu rohoni, hata hamsemi mpaka leo mmevimwaga mfululizo... JF sihamiiii
Hiii o bebi Bantu Lady we ukiambia chochote ntafanya, afu ban mi hazinitishi coz Sina kosaKaa kwa kutulia mwanaume wewe. Utapata Ban kama wenzako... tulia
Atumegee ka umbea ety🤣🤣Nin kimetokea jaman😂😂😂😂
Mkuu si tupo kwenye jokes ama😀😀Intelligent businessman nikianza hapa utaanza kujiliza nakujua. Ama uanze mipasho yako ya bei rahisi... nilipita kulimwaga hilo nalala zangu 😏😏😏😏😏
Shangaa😂😂😂hatakii maovu yake yagundulike na huku😂😂😂Vijembe na matusi ya nini?