JamiiForums Usiku wa manane
Nimestuka ndotoni nikaona nipite lindoni nilikua naota ndoto moja hivi nipo vitani sina gun ila wapinzan wanaziminina sana upande wangu nainama naokota gun inakua haina risasi nimepata tabu sana kwenye ndoto nimeweseka mno aisehh vita bila silaha hutoboi
 
Nimestuka ndotoni nikaona nipite lindoni nilikua naota ndoto moja hivi nipo vitani sina gunila wapinzan wanaziminina sana uoande wangu nainama naokota gun inakua haina risasi nimepata tabu sana kwenye ndoto nimeweseka mno aisehh vita bila silaha hutoboi
Unewaona Wagner group, they fight hata akiishiwa risasi🤣🤣 .
Sjui wanalipwa nn wale Vijana Kwawazee
 
Back
Top Bottom