JamiiForums Usiku wa manane
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Jobless nna mke na watoto af mchepuko haujui kama nna familia na umeniahidi kazi nzuri kwani dadaake ni HR wa kanpuni kubwa lililo chini ya wadosi wa kizungu , yaani mshahara si chini ya jiwe mbili (2M) per month.

Nmejifunza kuishi na mwanamke mmoja hadi uzeeni si kazi rahisi kama tudhaniavo
 
Kwaio umeamua kuchepuka ili upate pesa za kuhudumia familia yako😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom