JamiiForums Usiku wa manane
🤣🤣mwanaume ni nguzo ya familia, mwanamke kiumbe dhaifu, akipata mchongo anaenda mazima lakin baba hukumbatia vyote , atasimama na familia pia mchepuki utahudumiwa pasipo kuathiri
Ndo mnavyo jitetea😂😂😂😂
 
🤣🤣mwanaume ni nguzo ya familia, mwanamke kiumbe dhaifu, akipata mchongo anaenda mazima lakin baba hukumbatia vyote , atasimama na familia pia mchepuki utahudumiwa pasipo kuathiri
Wee subiri utapata vyoote unavovitafuta.. Swala la muda 2..😂😂😂
Wanaume wengi tu mmebarikiwa kwenye swala la kugawanisha upendo.. Yaan unaweza kuwa na mchepuko na bado ukampenda mkeo.. 😂😂😂
Wanawake tukihama tunahama mazima mambo ya kugawa upendo wengi wetu haiwezekan.. Ukiona mchepuko anapendwa ujue upendo kwa mume umeishaa kwa asilimia kubwa.. 👌
 
Apo ndo stage hua tunachukua kombe letu mbe ya adui almarufu kama 50 kwa 50 au haki sawa
 
Back
Top Bottom