Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,133
Sasa wee hapo ulijiskiaje an kwa mfano.....😂😂😂Kawaida kushindia vichupi hadharanii🤔🤐
Nipe location ya huo mtaa
Sasa wee hapo ulijiskiaje an kwa mfano.....😂😂😂Kawaida kushindia vichupi hadharanii🤔🤐
Kuwa makini na shimo lako. Wasije fanya makazi ya kudumu😂😂 Poor BrainHamna mi huwa nafata mambo yangu na wao wanafata yao kwisha....😂😂
Weeeeh... Golden chance never came twice ujue hivo😂😂Mkuu hapana aisee, miksa vinacheka cheka tu.
😂😂😂😂😂 Weeeh unatufanya watu tucheke kwa sauti humu...Ndio huku kwetu mtu anafagia na smevaa boksa au mavaa boksa ya mumewe
Hao mabachelor na some many wanachuo au waajiriwa flani
Intelligent businessman ni kijana wa hovyo..😂😂😂😂😂😂Kuwa makini na shimo lako. Wasije fanya makazi ya kudumu😂😂 Poor Brain
Weeeh unatufanya watu tucheke kwa sauti humu...
Aisee shida huwa Nina kidharau flani hivi, hata manzi awe mzuri vipi??. Asipojistili simu appreciate kihivyooWeeeeh... Golden chance never came twice ujue hivo😂😂
Aisee shida huwa Nina kidharau flani hivi, hata manzi awe mzuri vipi??. Asipojistili simu appreciate kihivyoo



Nashukuru kwa kuliona Hilo🙏🤗,Intelligent businessman ni kijana wa hovyo..😂😂😂😂😂😂
huko mlipo nyie huko ndo pa kukaaa an...Kweli kuna cha ajabu kwani hapo mm sioni
For real dude, uzuri kwangu si kukaa uchi hadharaniiSema huna hela bhna acha difence mechanism![]()
Utakuja jutia dharau yako siku moja .Aisee shida huwa Nina kidharau flani hivi, hata manzi awe mzuri vipi??. Asipojistili simu appreciate kihivyoo
huko mlipo nyie huko ndo pa kukaaa an...
For real dude, uzuri kwangu si kukaa uchi hadharanii
Yaan jina la poor ungekua nalo ww na hiyo intelligent ningechua mie khaaaa😂😂Nashukuru kwa kuliona Hilo🙏🤗,
It's better, kuliko kuacha sehemu kubwa ya maungo yake wazii. Kutakuwa hakuna kipya Cha kuonaUtakuja jutia dharau yako siku moja .
Unataka ajistili avae ninja au...?
Hapo mi sikuungi mkono ✋It's better, kuliko kuacha sehemu kubwa ya maungo yake wazii. Kutakuwa hakuna kipya Cha kuona
Shida Intelligent businessman lina big meaning kwanguYaan jina la poor ungekua nalo ww na hiyo intelligent ningechua mie khaaaa😂😂
Sipendi mwanamke anayevaa nguo za nusu uchi, au style za kihasara hasaraAta sijakuelewa