Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,404
- 96,726
01:12 I love that ego, nigga you are so bagy
🤣🤣🤣🤣 Mara 3?00:38
Leo tunakesha na furaha, kuna kapaka kamekufa mara 3 huko 😄😄😄😄😄😄😄😄
Tupogo 01:2201:18 lack of knowledge coz my people to perish
Hulali?1:16
Kitanda kimeingia sisimiziHulali?
Amka ukung'ute mashuka😅Kitanda kimeingia sisimizi
Game ya Simba sikuicheki. Shida ilikuwa wapi mpaka tunakula tatu?At least Arsenal alirudisha furaha lakini Simba FC akanipokonya tena. Wacha nipambane lindoni hapa.
Bantu Lady najua wanicheka kichinichini huko ulipo😭