Sijui mi mwenzenu ni ushamba au uparoko umenizidi🤔🤔
Leo nilienda kumcheki jamaa yangu kapanga mitaa fulani, basi hiyo nyumba wamo vijana wa Kila rika.
Kuna vijana wa kike na kiume, kilichonishangaza na kunifanya ni ghairi hafa mission ilionipeleka kule ni life style yao ya ajabu.
Just imagine kijana wa kiume anashinda kutwa nzima amevaa boksa huku yuko kifua wazi🤔🤔.
Hawa mabinti ndo majanga tu, watu wnashindia vi skintight au tupensi tufupi, miksa juu kavaa singledi 🙄🙄
Duh ni hatarii
Bantu Lady National Anthem Mwachiluwi Poor Brain Dahan