Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,133
Kamna ukiokoka na wale wa rasta achana nao...😂😂Kweli kweli nakubaliana na wewe kabisa...
Najua kuna sehemu takudaka tuu
Kamna ukiokoka na wale wa rasta achana nao...😂😂Kweli kweli nakubaliana na wewe kabisa...
Najua kuna sehemu takudaka tuu
Hapana alishauri hivyo huyo Mmalawi, wanajua wenyewe na kweli wakaisha. Hapo ilikuwa ni mwezi tu baada ya kufiwa na Mama.Utakuja kuwasha moto wewe.....😂
Uogopi sasa..?
Nilikushauri uweke mafuta ya taa uliona? Kesho tafuta mafuta ya taa. Watakimbia wote.
Ilitokea mwaka jana chumba cha mdada wa kazi Mmalawi, sisimizi lundo ukutani, walipotokea haijulikani.
Akasema apate mafuta ya taa akapaka. Mpaka leo hata mmoja hakuna. Pole Mwachi

Jamani usiku huu.. msitake tucheke kwa sauti..
Khaaaa
Aaah pole pia...Hapana alishauri hivyo huyo Mmalawi, wanajua wenyewe na kweli wakaisha. Hapo ilikuwa ni mwezi tu baada ya kufiwa na Mama.
Kuna kitu huyo dada alisema, nimekisahau.
Baadaye kukikucha hata kwenye kituo cha mafuta. Pole naelewa, mimi aliponiita nilichanganyikiwa yaani hapa mwili unanisisimka, nakumbuka exactly walivyotanda ukutani.Sina mafuta ya taa na huku maduka duh mpaka boda
Hiii National Anthem sawa baba mchungaji tutatoa hiyo pesa ya sadakaNimejitenga nayo aisee.. vijana tumche Mungu, na kuepukana na uovu
Kwa hilo sijajua maana baada ya kupaka na ni kuta hizi za kusafisha. Wakapotea basi sikushughulika tena kuingia rum kwake. Asante best.Aaah pole pia...
Mafuta ya taa ile harufu ilikata kwa mda gani ..? Au ulipakaa kidogo tuu
Mi bado nipo nipo kwanza
Yaaah lala mapema kabisa...
😂😂😂 Kwani wana ng'ata wale... Wee lala wapotezeeCheka tu kweli nimekimbia chumba
Kwani wana ng'ata wale... Wee lala wapotezee
Aaaaaah sema sa hivi pia kuna dawa ya unga.Kwa hilo sijajua maana baada ya kupaka na ni kuta hizi za kusafisha. Wakapotea basi sikushughulika tena kuingia rum kwake. Asante best.