National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
😅😅😅 endelea kula kwa mawazoUnamuonea wivu sio??
😅😅😅 endelea kula kwa mawazoUnamuonea wivu sio??
Kwa mkono mmoja...😂🤝🤝Subutuuu yako 😅😅😅😅 endelea kukwea tu mnazi
Bora mawazo Ankol ajisemeshe tu 😂😂😂😂😂😅😅😅 endelea kula kwa mawazo
Anapiga mabao ya mkonoKwa mkono mmoja...😂🤝🤝
Usipokula, utaa.... Alisikika muhuni Mzee wa kupambania😅😅😅 endelea kula kwa mawazo
😅😅😅 hata kuwaza anakukula, ni utajiri huo.. kaisha pishana na gari la umaskiniBora mawazo Ankol ajisemeshe tu 😂😂😂😂😂
Alafu mie nimeachana na mambo ya mabaya mabaya hasa ya matusi matusi.. NimeokokaUsipokula, utaa.... Alisikika muhuni Mzee wa kupambania
Alafu mie nimeachana na mambo ya mabaya mabaya hasa ya matusi matusi.. Nimeokoka
Nimejitenga nayo aisee.. vijana tumche Mungu, na kuepukana na uovuUnaonekana
Never stress over over what you can't control..03:39 tunaambiwa matajiri hawana muda wa kupoteza, ila watu wa humu siwaelewii
😂😂😂😂😂😂Anapiga mabao ya mkono
Nilikushauri uweke mafuta ya taa uliona? Kesho tafuta mafuta ya taa. Watakimbia wote.Hamuwez amini nimetoka chumban nimekuja kulala sebleni sisimizi wamejaa tena
Mmmmmh hapo sasa.... Oky ngoja tuseme sawa😂😂🤝Alafu mie nimeachana na mambo ya mabaya mabaya hasa ya matusi matusi.. Nimeokoka
😂😂😂 Jamani usiku huu.. msitake tucheke kwa sauti..Hamuwez amini nimetoka chumban nimekuja kulala sebleni sisimizi wamejaa tena
Kila atendaye dhambi ni wa ibilisiMmmmmh hapo sasa.... Oky ngoja tuseme sawa😂😂🤝
Utakuja kuwasha moto wewe.....😂Nilikushauri uweke mafuta ya taa uliona? Kesho tafuta mafuta ya taa. Watakimbia wote.
Ilitokea mwaka jana chumba cha mdada wa kazi Mmalawi, sisimizi lundo ukutani, walipotokea haijulikani.
Akasema apate mafuta ya taa akapaka. Mpaka leo hata mmoja hakuna. Pole Mwachi
Kweli kweli nakubaliana na wewe kabisa...Kila atendaye dhambi ni wa ibilisi
Palipo na Roho ya Bwana, pana uhuru.. usitegemee kunidaka kwenye machaka yenuKweli kweli nakubaliana na wewe kabisa...
Najua kuna sehemu takudaka tuu