JamiiForums Usiku wa manane
Kwa Mkapa hatoki mtu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nasikia Raha bado wako uwanjani ....
 
Kwa Mkapa hatoki mtu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nasikia Raha bado wako uwanjani ....
Tunaomba radhi kwa wote watakaokwazika, mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital yetu ya crazy for life .

Ndugu Bantu Lady alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia hivyo mvumilieni
 
Back
Top Bottom