We need to be serious on this business mkuu vinginevyo itakuwa tia tia maji hivi hivi miaka yote2:46
Sema inabidi tuache masihara na kuvizia vizia wachezaji ambapo ni rejected timu nyingine.
Inabidi tuwekeze kikweli kweli! Leo quality imetuhukumu sana
Simba mnaingia JF kwa kuvizia na usiku wa ma8 😂😂😂😂😂😂2:44 mida ya wanga
Kwani kwenye uzi wa "LIVE" hukutuona tukichangia?😫Simba mnaingia JF kwa kuvizia na usiku wa ma8 😂😂😂😂😂😂
Kwanza nani kakuamsha weye?🤔02:50
RAJA CASABLANCA
RCA...
Mlituachia uzi wenu...Kwani kwenye uzi wa "LIVE" hukutuona tukichangia?😫
Hapa Bongo mpira unachezwa kwa hamasa!(ukiwahamasisha atleast ndo wanaweza kukupa kitu)We need to be serious on this business mkuu vinginevyo itakuwa tia tia maji hivi hivi miaka yote
Leo nawe zamu yako🤣🤣Mlituachia uzi wenu...
Naona ushakuja, ngoja na hapa nikuache🤣🚶🚶Mlituachia uzi wenu...
Njoo ukunywe despirado hapa upunguze hizi fujo mtoto mzuri02:50
RAJA CASABLANCA
RCA...
Ndo utajua hujui, na bichwa Kama nazi ya buku jeroo02:56
TP MAZEMBE WAMEZEMBEA