JamiiForums Usiku wa manane
Yeah sasa inabidi tuwapige nje ndani alafu tupate ushindi mwingine kwa yeyote ili tuvune 9 points, tunaweza tukahema kwa kujidai kidoogo
Japo hesabu kwa Sasa Ni ngumu Sana! Unless tumuombee raja ashinde mechi zote mbili za horoya ama achukue point 4 kwa horoya.

Nasi tukusanye point 9 ( sita kwa vipers na 3 kwa horoya).
 
Japo hesabu kwa Sasa Ni ngumu Sana! Unless tumuombee raja ashinde mechi zote mbili za horoya ama achukue point 4 kwa horoya.

Nasi tukusanye point 9 ( sita kwa vipers na 3 kwa horoya).
Ndicho hicho ninachofikiria mkuu, sasa Vipers atakubali tumpige nje ndani? Horoya kiasi namuona Kama mdebwedo flani hivi, akizubaa tunaweza vuna hata 4points kutoka kwake
 
Chance ya kumaliza top 4 labda sio kubeba ligi 😹😹😹
Anything can happen bro, what if zile accusations alizonazo City zikamprun points na kushushwa daraja kama adhabu aliyokutana nayo Juve?🤔
Najaribu kuwaza in that way na si uwanjani lakini🙄
 
Anything can happen bro, what if zile accusations alizonazo City zikamprun points na kushushwa daraja kama adhabu aliyokutana nayo Juve?🤔
Najaribu kuwaza lakini🙄
Unadhani mwarabu atakubali kiurahisi hivyo 2020 UEFA mtushindwe sembuse kiligi Cha EPL ngoja amwage mi 💰 ya kutosha ashinde kesi city sio wanyonge mkuuu
 
Let's wait and see, uzuri kule hawaangalii una midolale kiasi gani🤣
Aaaah we oshey mr 💰 inamatter pia ila tutavuka tu maana tunajua tunamaadui wengi EPL klabu nyingi hazipendi kuona mafanikio yetu 🦠🦠🦠🦠

Ila mtaisoma namba tu
 
Back
Top Bottom