Mwacheeee afanye maandaliziii😂😂😂Bado mapema 03:57
Si ulale tuHivi wakuu, wote humu huwa mnajuana? Maana naona mnachati tu.
Mi sina wa kuchati nae!
Lalen mtafanya supFire extinguisher ya UE itatuua.
Kila la heri ila msichelewe kazini ✌️✌05:01...morning glory time... 😂😂
Hakika tukabidhi lindo sasa tuburudishe miili 05:03[emoji111]05:01...morning glory time... [emoji23][emoji23]
Morning [emoji559] gloryNo retreat no surrender 04:54
asante sana
Yaan kulala balaaNashangaa simuoni To yeye na Bantu Lady ndio mida yao hii ya kujidai na lindo