JamiiForums Usiku wa manane
Itabidi aisee uzuri wake, Kuna samaki hapa nilibakisha Jana usiku, ngoja nikiamshe😊
Tatizo ukila usiku wa manane ndo unageuka kuwa utaratibu wa kilasiku🤣🙆
,,🤣🤣 Kuna jamaa ishakua kama tabia sasa , yye itikapo mida kama hii ndo kaz inaanza sasa kukuruka na majiko .
 
Back
Top Bottom