Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 5,051
- 8,298
Exactly, udambwi wanao wacheche 😳🤣Sanaaa😅😅😅 ila yote tisa...ngono pekee na style zake haiwez fanya mwanaume atulie ndani.. Mwanaume anahitaji nyongeza ya udambwidambwi hivi ili aamue kubaki njia kuu.
