Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 5,536
- 9,336
Hapo me skai, tutalaumiana burre, aheri niende barSasa kama nyumbani kelelee muda wotee unadhani itakuajee? Kuna watu hawajui huu ni muda wa kutulia na familia.. Nyumba zao ndio vijiwe vya mashosti kuanzia asubuhi hadi usiku😂😂😂