Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,845
Vipi ulifanikiwa kumlaza unono mrembo? 😅🤣🤣 Anahitaji nyimbo alale.
Vipi ulifanikiwa kumlaza unono mrembo? 😅🤣🤣 Anahitaji nyimbo alale.
Usiku wa jana umeniangusha mrembo wangu. Lindo uliliacha wazi kabisa, nisingefanya patrol na kugundua hilo, Leo ungeigiza kama jana ulikuwepo zamu😆😆Yaan kulala balaa
Yelewiiii Dahan hayo marangi rangi Kama ice cream usoni vepeee,Huyu kibaka wa kimataifa yupo wapi kwani Intelligent businessman 😂😂
Jamaniii mi si nilipewa kazi ya kumlinda my boss Bantu Lady, sema na yeye akilala anakoroma Kama pikipikiAmeenda kwenye mizagamuo huyuu
Hata wewe ndugu yangu unasaliti kisa pipi ya 50 tu😲😲 SI Bure sema asituangushe,🤣
Hali ni ngumu tarehe 14 uefa, ila nasikia humu ndani watu wanaizungumzia hiyo siku sanakwema chief... weekend inasemaje h
Sawa ila hayo macho ulivokodoa Kama tunguli za mganga DahanNew style😂
watu wa humu wanapenda sana chini sio Me wala Ke gonjwa mojaHali ni ngumu tarehe 14 uefa, ila nasikia humu ndani watu wanaizungumzia hiyo siku sana
naona Dahan na Bantu Lady wamekuwa fixed...😅😅😅 wanatekeleza majukumu ya 6*6Sawa ila hayo macho ulivokodoa Kama tunguli za mganga Dahan



Joto wakati mvua inanyeshaKuzima moto still going on dar joto mazeee![]()
Unachekesha 🤣🤣🤯 mvua gani hiyo kwio manzese au buguruniJoto wakati mvua inanyesha
Nipo Tabata kuna mvua kubwa tuUnachekeshamvua gani hiyo kwio manzese au buguruni