D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,172
Mbna kichwa kinaniwasha?
Hamna saa ile ndio nilikuwa narudi home toka vacation.Mazingila ndo yalisema ulikua unaluka kwanja
Uchochezi gani wakati ni kweli, Vipi Thad umemuacha wapi?![]()
![]()
Huu sasa uchochezi mamboleo![]()
Mzima dear. Aisee kuna baridi hatariNaona baridi imewaingia jamani
Mzima wewe?
Siku izi naona uko makini sana kuingia lindo, usisahau kufunga geti badaeGate limefunguliwa...popozzzzzzz![]()

Kufunga gate ni zamu yako banaSiku izi naona uko makini sana kuingia lindo, usisahau kufunga geti badae![]()
Aisee, jirani wa dunia nikafikiri umekuja kuzima moto, kumbe umekuja na dumu la petrol, kwakweli muhusika wa huu utekaji atakua jirani yako (the hunter)Uchochezi gani wakati ni kweli, Vipi Thad umemuacha wapi?

Ndio hivyo tuvumilie tuu hakuna namnaMzima dear. Aisee kuna baridi hatari
Ahahahaaaaaa hunter hafai hata kidogo huyo michepuko ikimtawala na lindo anasahau kabisa.Aisee, jirani wa dunia nikafikiri umekuja kuzima moto, kumbe umekuja na dumu la petrol, kwakweli muhusika wa huu utekaji atakua jirani yako (the hunter)![]()
Umesahau saivi niko likizo, labda umshtue yule chepeo kwa chepeo a.k.a The last man standingKufunga gate ni zamu yako bana

Hahaha, saivi anatumia mpaka bunduki kuwindia ndege, hataki shida kabisaAhahahaaaaaa hunter hafai hata kidogo huyo michepuko ikimtawala na lindo anasahau kabisa.

Kwan jana mlikuwa wapi wewe na Thad?![]()
![]()
Huu sasa uchochezi mamboleo![]()

Kunywa Metakeflin vidonge 6 kwa Mara moja na balimi 2, usisahau kuleta mrejeshoMbna kichwa kinaniwasha?

Aje ajibu hapaUchochezi gani wakati ni kweli, Vipi Thad umemuacha wapi?
Uliza wewe dadayake mie hata sijajibiwaKwan jana mlikuwa wapi wewe na Thad?![]()
Wapi huko? Huku joto la hatarMzima dear. Aisee kuna baridi hatari

Kwan jana mlikuwa wapi wewe na Thad?![]()

Ndo nani tena maana nasikia bby una majirani wengi? Hebu nitonye usikute ni yule wanguAhahahaaaaaa hunter hafai hata kidogo huyo michepuko ikimtawala na lindo anasahau kabisa.

Hahaha, saivi anatumia mpaka bunduki kuwindia ndege, hataki shida kabisa![]()
![]()

Kunywa Metakeflin vidonge 6 kwa Mara moja na balimi 2, usisahau kuleta mrejesho![]()
