jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Ngoja tusubirUliza wewe dadayake mie hata sijajibiwa

Ngoja tusubirUliza wewe dadayake mie hata sijajibiwa

Hahaha ila Mshiki, unajua Mimi sihusiki na utekaji wa huyu mtu, kuna siku nilikusikia unasema mvua ikinyesha huwa anapotea, huenda ana allergy nayoAje ajibu hapa

Haaa ana walimu wengii eeeh

Hahaha ila Mshiki, unajua Mimi sihusiki na utekaji wa huyu mtu, kuna siku nilikusikia unasema mvua ikinyesha huwa anapotea, huenda ana allergy nayo![]()
![]()
hufai ujue nimecheka kwa nguvu usiku wote huu

Duuh, Leo kwakweli mmeniamulia, hebu jaribuni kumwuliza Manga ML huenda ashaanza darasa la kubetUliza wewe dadayake mie hata sijajibiwa

Ndo nani tena maana nasikia bby una majirani wengi? Hebu nitonye usikute ni yule wangu![]()

Hapana aseee nilikanusha sina ufundi wa kubet.
Haaa ana walimu wengii eeeh
Nasikia wewe hutumia bakora spesheli kumfundishia, eti kaka ni kweli? Mm huwez nifundishia na hiyo bakora??![]()

Mimi sijawahi kua mwalimu wake nakanusha vikaliHaaa ana walimu wengii eeeh
Nasikia wewe hutumia bakora spesheli kumfundishia, eti kaka ni kweli? Mm huwez nifundishia na hiyo bakora??![]()
Hahaha mkuu nimeona wameniandama sana nikaona niite assist kijanjaHapana aseee nilikanusha sina ufundi wa kubet.
hili swali halinihusu tengua kauli

Salama mkuu, karibu kilingeniHabari zenu popoooz[/SIZE
Msacha nitinye bhana naona kama mnamjua

Unaenda wapi? Ukuje ujibu tu hapa
Umesahau saivi niko likizo, labda umshtue yule chepeo kwa chepeo a.k.a The last man standing![]()
![]()
![]()
kumbe uko likizo tatizo hujaripoti kwa incharge.Mie naona dar leo kuna joto. Vipi mamy ndio umerudi rasmi?Wapi huko? Huku joto la hatar![]()