jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Afadhali umesema hadharan, hawa wana lao jambo ndo maana my kaka hataki kutoa kauliMimi sijawahi kua mwalimu wake nakanusha vikali
Amlete leo tu ajibu maana na hii baridi cjui kama kuna kukatiza

Afadhali umesema hadharan, hawa wana lao jambo ndo maana my kaka hataki kutoa kauliMimi sijawahi kua mwalimu wake nakanusha vikali

Haaa kumbeee basi jibu tu tunasikilizaHahaha mkuu nimeona wameniandama sana nikaona niite assist kijanja![]()

Jomoniiii
Yes dear, si unajua mie ni bundi?Mie naona dar leo kuna joto. Vipi mamy ndio umerudi rasmi?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kumbe uko likizo tatizo hujaripoti kwa incharge.
Hahaha, mshiki mimi wala sijui, ila nasikia kuna kamsemo kenu mnasemaga "raha ya mume muwe wanne" vumilia mshikiMsacha nitinye bhana naona kama mnamjua![]()

Hahaha mshiki, hii bakora kamwe haichapi ndugu, ikikugusa ni laana kubwaUnaenda wapi? Ukuje ujibu tu hapa

Uwiii mm nina wivu msacha si unaona hadi kapua kanatoa jasho kenyeweeeeHahaha, mshiki mimi wala sijui, ila nasikia kuna kamsemo kenu mnasemaga "raha ya mume muwe wanne" vumilia mshiki![]()
![]()
![]()

Nimependa kwenye angalizoHahaha mshiki, hii bakora kamwe haichapi ndugu, ikikugusa ni laana kubwa![]()
![]()
Angalizo:- Sijawahi kuchapa nayo mtu![]()
Mshiki, unajua bado sijapona vizuri, niletee basi hata sharubati baridiAfadhali umesema hadharan, hawa wana lao jambo ndo maana my kaka hataki kutoa kauli
Amlete leo tu ajibu maana na hii baridi cjui kama kuna kukatiza![]()

Salama mkuu, karibu kilingeni
Hahaha basi, mama chanja hutaniwiJomoniiii
Nakusemea kwa baba chanja

Mshiki, unajua bado sijapona vizuri, niletee basi hata sharubati baridi![]()
unajua kuni

Atii nawe humuogopi baba chanja au spade wangu?Maserati eti njoo tuunganishe baridi zetu hukuu..
Hahaha usihofu bhana, kapua kutoa jasho ni dalili za afya njema ujue.Uwiii mm nina wivu msacha si unaona hadi kapua kanatoa jasho kenyeweeee
Acha hizo usije nipoteza![]()
We baba kayaii weweHahaha basi, mama chanja hutaniwi![]()
Nilijua tu, ungeanzisha kamada kama nisingeweka angalizoNimependa kwenye angalizo
