Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Labda anataka apokee majibu pamoja na jjesNa amejua kutukomesha, hajawaza tutaumia kiasi gani kwa kummisi anatabia mbaya sana
Labda anataka apokee majibu pamoja na jjesNa amejua kutukomesha, hajawaza tutaumia kiasi gani kwa kummisi anatabia mbaya sana
Asante sana usisahau siku ni muhimuPole sana Manga; hivi kumbe jana ilikuwa j3 eeeh
Nishasahau nasubiria xmass bhna Mungu aniongoze nifike salama![]()
Zile za mbege nishaziweka kando![]()
Ahsante kwa kunipa moyo.Wala usiogipe huoni kamjibu kijanja? Bado yuko na wewe usihofu
Jiamin tu usijali kbsaAhsante kwa kunipa moyo.
Wanasemaga dalili ya mvua mawingu
Kwani na wewe unajua majibu tayari eeehLabda anataka apokee majibu pamoja na jjes

Hayo majibu yana wahusu nyieKwani na wewe unajua majibu tayari eeeh![]()
Haya ngoja tuyasubiriHayo majibu yana wahusu nyie
Kasolo mimi.Niwatakie uck mwema nyote. Naona j3 ya leo imekubali haswaaa. Kila mtu kachoka
Popo mwenyeweGate limefunguliwa...popozzzzzzz![]()
Ulikuwa hujui???Popo mwenyewe
Nipoooo wengine hata siwaoniMpoooooo
Naona baridi imewaingia jamaniNipoooo wengine hata siwaoni