Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Nipo dear wangu,Heloo Dear upo..?
Habari za masiku tele
Nipo dear wangu,Heloo Dear upo..?
Ehehee hongera naona ni mwanzo mwema huo, mie mwenyewe nishapata majibu ujueMm zaidi, ck zinavyozidi kusonga ndivyo nalala mapema
Nitauliza daktar wangu wa home kulikoni? Naamin ana majibu
Teh teh![]()
![]()

Walale wapi wanamapozi tuu ya usiku usikuNdo tuseme wengine wamelala ama tumewahi?![]()
Nipo dear wangu,
Habari za masiku tele
Jomon jomon majibu umeyapate weye? Mm namsubiria doctor wangu anieleze hata sijui piaEhehee hongera naona ni mwanzo mwema huo, mie mwenyewe nishapata majibu ujue![]()

Leo nahis kuna mvua upande wake. Unajua kimvua kikinyesha tu haonekaniWalale wapi wanamapozi tuu ya usiku usiku
Umenionea wapi Thad?

Sina mpya dear nipo tuu nashangaa, Vipi wewe unaendeleaje lakini ?Daah nilikumiss tu mamaa , ila I hope uko mzima..Lete storii...!
Akikueleza uje unambie na mimi nitasema niliwaza nini teh teh tehJomon jomon majibu umeyapate weye? Mm namsubiria doctor wangu anieleze hata sijui pia![]()
![]()
![]()
Na amejua kutukomesha, hajawaza tutaumia kiasi gani kwa kummisi anatabia mbaya sanaLeo nahis kuna mvua upande wake. Unajua kimvua kikinyesha tu haonekani![]()
Haya nitakuambia ila una uhuru wa kuanza kuniambia ulichowazaAkikueleza uje unambie na mimi nitasema niliwaza nini teh teh teh

Sina mpya dear nipo tuu nashangaa, Vipi wewe unaendeleaje lakini ?
Akishakwambia uniulize na mimi nitasemaHaya nitakuambia ila una uhuru wa kuanza kuniambia ulichowaza![]()
Zima data fumba macho ulale, mie kuna kakazi namalizia hapa nitarudi baadae kidogo diaDaah Ney Usingizi umekata hapa njoo tubebishanee tu hakuna namna na upweke huu..




Niitie Nganengo labda wako masomonNa amejua kutukomesha, hajawaza tutaumia kiasi gani kwa kummisi anatabia mbaya sana

Sawa sina hata haraka najua utanieleza ukweliAkishakwambia uniulize na mimi nitasema

Eti bhana nishatengwa tayariHuusiki jamani.
Mambo vipi aiseeh
Hamja wahi nahisi uchovu wa j 3 tuNdo tuseme wengine wamelala ama tumewahi?![]()
HongelaEhehee hongera naona ni mwanzo mwema huo, mie mwenyewe nishapata majibu ujue![]()
Pole sana Manga; hivi kumbe jana ilikuwa j3 eeehHamja wahi nahisi uchovu wa j 3 tu

Wala usiogipe huoni kamjibu kijanja? Bado yuko na wewe usihofuEti bhana nishatengwa tayari
Yani huku kukosa swaga ni khatari sana kwa afya ya mahaba.