SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
Sijakuelewa make kwanza nielewesheMkuu naona umeja new new
Sijakuelewa make kwanza nielewesheMkuu naona umeja new new
Sijakuelewa make kwanza nieleweshe
Oh yes kwa muda ntabadili tena 31/12/2023 nirudie identity yanguUmebadili jina naona
Oh yes kwa muda ntabadili tena 31/12/2023 nirudie identity yangu
niko mwepesi natoka kwa Boss🍎🍎Dah sisi macho meupe
niko mwepesi natoka kwa Boss![]()
ahaa kwema lakn huko maana wikiend hi ina mambo mengi kweliAta mimi nakuona mkuu mimi ndio naludi kwenye mtoko
ahaa kwema lakn huko maana wikiend hi ina mambo mengi kweli
huku kwema vitamu vya liwa vichungu havina nafs😄😄Kwema huku vipi uko
huku kwema vitamu vya liwa vichungu havina nafs![]()


embu njoo chemba unipe full mkandaMkuu lindoniAchana nae bhana
Nipo mkuuMkuu lindoni
Umekaa pembe ipi.Nipo mkuu