Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,920
Mambo lakinMkuu lindoni
Mambo lakinMkuu lindoni
Mungu anasaidia SanaMambo lakin
Nipo kwenye mbuz kagoma.....si unajua tena morning glory😉Umekaa pembe ipi.
BarikiwaMungu anasaidia Sana
Bora mbuzi kagoma mm kaikalia. Ni mwendo wa chura tuNipo kwenye mbuz kagoma.....si unajua tena morning glory😉
🤣Em tulia kwanza huku watatufukuza🤐Bora mbuzi kagoma mm kaikalia. Ni mwendo wa chura tu
Kutoka jina chiz maarifa ukalipenda hili jina?Bora mbuzi kagoma mm kaikalia. Ni mwendo wa chura tu
Kumekucha mkuu
Kwa kweli unajua kukesha, nimekuvulia kofia. Ushauri wangu kwako badilisha kinywaji unachotumiaKumekucha mkuu
😜Unanyetuka? Au upo na manz?Natafta Cha asubuhi apa
Nimelala vizuri kweli Leo,meshtuka 05Kwa kweli unajua kukesha, nimekuvulia kofia. Ushauri wangu kwako badilisha kinywaji unachotumia



pole, imagine mambo mazuri .. hakikisha hewa ya kutosha inaingia chumbani
01:04