JamiiForums Usiku wa manane
Jamn swala la kununua demu usilione laa ajabu sana nikweli ni swala la hovyo ila kama hujalifanya shukuru tu mana hata wanaolifanya hawajui kwann wanatenda.
 
[mention]Dahan [/mention]
[mention]Mr kenice [/mention] [mention]Intelligent businessman [/mention]
[mention]Bantu Lady [/mention]
 
Mnaliharibu hili chimbo. Maana nzima ya usiku wa manane inatoweka.
Zamani ililuwa saa 6 kamili ya usiku, ndiyo watu tunaanza kuufufua uzi. Ikifika saa 11 alfajiri tunautelekeza.
Sasa hivi huu uzi hauna tofauti na nyuzi zingine za chitchat. Mchana unaukuta una trend!!!
Mwenye kuanzisha alisema ni maalumu kwa usiku. I wish watu wangeendeleza hili.
Bantu Lady umeongea facts,kuna members wanaharibu uzi,uzi unasema "Jf usiku wa manane" lakini unakuta mtu saa 5 asubuhi anazunguka humu,wakuu tufuate uhalisia ingawa sijui sheria za huu uzi😓ni hilo tu kwa leo 🙏
 
Back
Top Bottom