JamiiForums Usiku wa manane
Hivi bro ujasiri wa kununua mademu, huwa mnautoa wapi???, Maana Jana nilikuwa sehemu flani na mabroo dah
mbona simple tu mkuu, alafu jua wanawake kariba wengi siku hizi wanauza, ila style za kuuza ndio tofauti.. alie mpenzi wa mtu asubuhi jioni anasimama Road kuuza, na alie mke wa mtu nyumbani ofisi anauza
 
Madam Bantu Lady I think umenielewa vibaya, mi nimewashitua wanna maana nawaona kimya siku hizi.

Halafu wanaotrendisha uzi ni Mimi??, Or umeamua kumalizia hasira zako kwangu??, and beside you should have quoted every body, not just me as if iam guilty.

Sorry if I went above the law, but this is how I remove trash out of my chezt
Uzi hawezi kuharibika sherehe ndiyo watu,uzi ukiwa na watu ina maana umechangamka usiweke makasiriko mpaka huingii tena humu,mnataka mbaki wawili tu kiza kinene kikiingia ,tufurahie tu
 
Mnaliharibu hili chimbo. Maana nzima ya usiku wa manane inatoweka.
Zamani ililuwa saa 6 kamili ya usiku, ndiyo watu tunaanza kuufufua uzi. Ikifika saa 11 alfajiri tunautelekeza.
Sasa hivi huu uzi hauna tofauti na nyuzi zingine za chitchat. Mchana unaukuta una trend!!!
Mwenye kuanzisha alisema ni maalumu kwa usiku. I wish watu wangeendeleza hili.
Mwenye sikio na asikie neno bantu lady awaambia wana Jf usiku wa manane
 
Uzi hawezi kuharibika sherehe ndiyo watu,uzi ukiwa na watu ina maana umechangamka usiweke makasiriko mpaka huingii tena humu,mnataka mbaki wawili tu kiza kinene kikiingia ,tufurahie tu
Nashangaa anavyosisitiza kuwa mpaka saa 6, mi nimemuambia as long as everyone ana free Will. Basi tuenjoy
 
mbona simple tu mkuu, alafu jua wanawake kariba wengi siku hizi wanauza, ila style za kuuza ndio tofauti.. alie mpenzi wa mtu asubuhi jioni anasimama Road kuuza, na alie mke wa mtu nyumbani ofisi anauza
Duh 🤔🙄, yaani huwa sinywi bia,sivuti sigara Wala uraibu wowote, so ma big bro wakajaribu kuniconnect na manzi flani hivi mwanachuo. He si nilisepaaa
 
Back
Top Bottom