JamiiForums Usiku wa manane
Nipo napambana na stress sina udingiz dem wangu ninayempenda sana kaenda kulala kwa mwanaume mwingine kazima na simu tangu saa11jion. Yupo mbli and namsomesha chuo. Tumekuwa na ugomvi wa hspa na pale baada ya tabia yake kubadilika nikawa namshutum kaanzisha mahusiano.
Nimeshampigia room mate wake anasema hajarudi. She is in 2st yr.
Nafikiria adhabu nzuri ya kumpa ili ajutie kosa hili ikiwezekana maisha yake yote
Acha ujinga ww mchumba hasomeshwi

Utakuja kujitia kitanzi bureee
 
22:59 nyie watu mmepatwa na nini?? Bantu Lady To yeye Dahan
Mnaliharibu hili chimbo. Maana nzima ya usiku wa manane inatoweka.
Zamani ililuwa saa 6 kamili ya usiku, ndiyo watu tunaanza kuufufua uzi. Ikifika saa 11 alfajiri tunautelekeza.
Sasa hivi huu uzi hauna tofauti na nyuzi zingine za chitchat. Mchana unaukuta una trend!!!
Mwenye kuanzisha alisema ni maalumu kwa usiku. I wish watu wangeendeleza hili.
 
Madam Bantu Lady I think umenielewa vibaya, mi nimewashitua wanna maana nawaona kimya siku hizi.

Halafu wanaotrendisha uzi ni Mimi??, Or umeamua kumalizia hasira zako kwangu??, and beside you should have quoted every body, not just me as if iam guilty.

Sorry if I went above the law, but this is how I remove trash out of my chezt
 
Why huwa unapanic hivyo? Hata muda huu bado, saa 6 ndiyo inaanza. Nimejibu tu but saa 6 kamili ndiyo inatakiwa uzi uanze.
Uzi mzuri sana huu but, kila mtu akijianzia muda wake inaharibu ila ladha.

Si umeniita nimepatwa na nini? ndiyo jibu langu hilo Mkuu Intelligent businessman uwe na usiku mwema.
 
Wala sijapanic, niko kawaida tu. Labda umeogopa tu(umeweka sauti kwenye ujumbe huo) Bantu Lady
 
Back
Top Bottom