Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,926
Anna,kumbe sawa....at least unalala kidogoHapana kwakweli naamka saa kumi na moja kulala tena hapo mpaka saa moja usiku au saa mbili nikala then nikiamka natulia
Anna,kumbe sawa....at least unalala kidogoHapana kwakweli naamka saa kumi na moja kulala tena hapo mpaka saa moja usiku au saa mbili nikala then nikiamka natulia
Anna,kumbe sawa....at least unalala kidogo
Kesho lala SAA 5 usiku ili uamke SAA moja asubuhi..eti?Amken kumekucha
Duu,haya mi nakuacha wanna sleep tenaSiku nyingine silali nakuja kulala saa kumi
Kesho lala SAA 5 usiku ili uamke SAA moja asubuhi..eti?
Duu,haya mi nakuacha wanna sleep tena
Oooh,ushakuwa addictedSiwezi huwa nawaza sana jf
PoaDah poa ngoja niendelee kutembea humu jf
Oooh,ushakuwa addicted

3:03Tupo tumechoka tu kulinda watu wazima.