Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Ngoja niende karibu na kanisa.😂😂😂mekuweza
Ngoja niende karibu na kanisa.😂😂😂mekuweza
👊 sana mkuuWooh napokea kijt Kwa ngv zote
Ulizingua sikuile,nikawa na imani nawe akajanisave MTU Mwingine kabisa.Eti joblessðŸ˜Tatizo hilo,😂😂, mi jobless wa kimataifa tu.
Ndoa ni kwa wenye akili timamu Kama chizi werevu na trudie👊 sana mkuu
Kabisa😂Ndoa ni kwa wenye akili timamu Kama chizi werevu na trudie
Oyaa jobless njoo huku Ntwilise tulime vitunguu.Ndoa ni kwa wenye akili timamu Kama chizi werevu na trudie
Pole Sana ni Kama kubeba maji kwa tenga la nyanya.Ulizingua sikuile,nikawa na imani nawe akajanisave MTU Mwingine kabisa.Eti joblessðŸ˜
Thanks mkuu, twilise ndo wapi huko??Oyaa jobless njoo huku Ntwilise tulime vitunguu.
uache kulaum ujobless
Hii ni geita ndanindani, Mayai haishi huku. Huku n kaztu.Thanks mkuu, twilise ndo wapi huko??
Mkuu ungenijua, usingeniita mayai, ila nasikia hua Kuna kilimo Cha umwagiliaji huko???Hii ni geita ndanindani, Mayai haishi huku. Huku n kaztu.
Nakupa tahdhar tu, najua we SI Yai.Mkuu ungenijua, usingeniita mayai, ila nasikia hua Kuna kilimo Cha umwagiliaji huko???
Kilimo Cha maharage kikoje huko??, Na mashamba yana Bei gan??Nakupa tahdhar tu, najua we SI Yai.
Huku cc hatuna msimu full kumwagilia.
Huku harage linalimw jpo SI sana.Kilimo Cha maharage kikoje huko??, Na mashamba yana Bei gan??
Naona tutazungumza asubui, ili tujue Kama tunaeza fanya kitu. Nilisoma report ya makadirio inaonesha geita kma ukilima vizuri Basi maharage ndo kwake.Huku harage linalimw jpo SI sana.
Chato ndo hulima sana na Barbara hio ya kuelekea bukoba,
Biharamlo.
Mkuu maeneo Kwa sasa sio cheap kiivo.
Heka ni kma lako had lakinaunusu.
Karb sana .Naona tutazungumza asubui, ili tujue Kama tunaeza fanya kitu. Nilisoma report ya makadirio inaonesha geita kma ukilima vizuri Basi maharage ndo kwake.
Yamekuwa hao tena🤔😂, ila boss Mwachiluwi ni mwenyekiti wavuvi kemp, hivyo lazima aangalie wadau wake.Kilasiku hulali...kuna shida pahala