fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,878
- 24,486
Haha ulinzi hauangalii umri na unapokuwa lindoni wapaswa kuwa timamu, ukichoka aga mwache mwenzio aliye active. Hii ndio principle kuu ya lindo yaani adui asipate nafasi sawa my dear😜😊Tupo tumechoka tu kulinda watu wazima.