SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
Unajiita anus mkuu💩ndu 🤣🤣🤣El Magnifico....!

Hivi ni kwa vipi labda mtu ana kua jobless, mbona naona ugumu kidogo kama huyo mtu hajataka yeye binafsi kuwa jobless?Leo nilikuwa napita mitaa ya kanisa moja hivi, ambapo nilimuona binti mmoja akiwa anasali kanisani.
makadirio ya umri wa binti huyu ni kama ana miaka 31, akiwa kanisani alikuwa anasali au kuomba kwa sauti kubwa kidogo.
maombi yake yalikuwa yana husiana na hitaji la kupata mchumba,kwani nilimsikia akisema ya kwamba amechezewa sana.
hiivyo alihitaji mchumba mwenye sifa moja tu ambayo ni mchumba "anayevuta pumzi tu".
Kutokana na ushauri kutoka kwa big boss Mwachiluwi, alinipa sharti nioe ili anipe kazi. Nikawazasijui nijipitishe anione??.
Ila nilivyojiwazia mi mwenyewe, ghafla nilianza kuona kizungu zungu kwani nilijiona ninaweza kumfanya binti afe kwa presha .kutokana na sifa zifatazo
Mimi ni jobless wa kimataifa.
Mimi sio handisamu,Sina pesa Wala kitega uchumi .
Nina sura nzito Kama chapati liyokosa mafuta.duh
Hizi dini za wakoloni, sizielewi kabisa.
Yaani wakiniambia mahari m3, si ninaweza nikafa kwa khoro
Ghafla kwa mbali, nilisikia sauti ikisema "we jobless wa kimataifa"Mbona unaongea huku umelala??, .
Kumbe jamani hatupaswi kujilaumu kuhusu Jana yetu, bali inatupasa kuboresha kesho yetu. To yeye Bantu Lady, Mwachiluwi National Anthem, stow away na Dahan .
Hakuna kupoa😂😂Kitambaa cheupe moja tukisambaza Upendo
Dogo ulikuwa wapi hizi siku 2,3Hakuna kupoa😂😂
Kitambaa cheupe.. Nilitekwa huko😂😂Dogo ulikuwa wapi hizi siku 2,3
Wapi ww kitambaa cheupe ndo nnKitambaa cheupe.. Nilitekwa huko😂😂
😂😂😂If u dont get it forget about it...Wapi ww kitambaa cheupe ndo nn
Au mmeo alikuwa anakukamua na kukukojolea 🤣Kitambaa cheupe.. Nilitekwa huko😂😂
We utakuja tu unaninyima maarifa sawa bana😂😂😂If u dont get it forget about it...
Alooo acha tuu.. Nilikua kucheza judo😂😂Au mmeo alikuwa anakukamua na kukukojolea 🤣
Usijali.. Ukikua utaelewa dogo😂😂We utakuja tu unaninyima maarifa sawa bana
Leo nilikuwa napita mitaa ya kanisa moja hivi, ambapo nilimuona binti mmoja akiwa anasali kanisani.