Niliweka karata yangu hapo emu nikague mahesabuYeah wapo HT now
Usiku wa maanani kuanzia saa 8 Usiku, pot upo lindo mda huuHivi Usiku wa manane unaanza saa ngapi
Naangalia movie ya Double Barrel KIX saiviNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Ya mwaka ganDouble Barrel KIX
Tugawane basNiliweka karata yangu hapo emu nikague mahesabu
Inter Milan anakufa uko ndio kabaki yeye tu,Tugawane bas
Iam feeling dizzy,and jings bro .😆 Hayo ma bombastic yanaanza kukupa dizziness au sio km sio fuzziness aah
Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMojaView attachment 2493500
