Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,661
Unafanya nini sahivi night kali au ndiyo unapindua nchiNaaam
Unafanya nini sahivi night kali au ndiyo unapindua nchiNaaam
00:00 Woooi
😆 Nini sasa hapo insomnia hasijaanza bado auTulia we dogo
Haya we piga kazi, I hope umetegesha cctv nyumbani kwa big uncleNipo shift 😁
Bado, ila leo nimekota 200, so nimepatwa na ka amnesia amazing ivi.😆 Nini sasa hapo insomnia hasijaanza bado au
Sawa leo kaangushe na humu tukaone hako amnesia naona katakua kamechanganikana na omnipresence kwa mbaaaaliBado, ila leo nimekota 200, so nimepatwa na ka amnesia amazing ivi.
Mkuu shida sijasoma boss, hii elimu ya chini ya mbuyu duh🤔🤔Sawa leo kaangushe na humu tukaone hako amnesia naona katakua kamechanganikana na omnipresence kwa mbaaaali
😆 Hayo ma bombastic yanaanza kukupa dizziness au sio km sio fuzziness aahMkuu shida sijasoma boss, hii elimu ya chini ya mbuyu duh🤔🤔
Wooooi Spur tayari ukoCombo ya son na kane haijawah poa,spurs leading 1 goal from kane asssisted ya sonand its HT now
Uonevu kweli anaua panya kwa bundukiMeanwhile PSG wametia goal la 6,ionevu
Yeah wapo HT nowWooooi Spur tayari uko
KabisaUonevu kweli anaua panya kwa bunduki
